Kitunguu Swaumu chaweza kutibu Magonjwa mbalimbali.Iwapo kama mhusika atafuata maelekezo vizuri.
Katakata kitunguu swaumu saizi ya vidonge kisha umeze kwa kutumia maziwa ya moto.
Mungu alipomwambia Hezekia kuwa angeongezewa miaka 15 katika maisha yake 2 wafalme 20:7,kwa nini hakumponya palepale??!.Alimwambia wachukue mkate wa tini na wapake kwenye jipu lake na kwamba matibabu hayo ya asili yaliyobarikiwa na Mungu yakamponya.Muumba wa viumbe alimwongoza mwanadamu atumie dawa za asili leo.
NB:Kwa kuumwa na nge saga kitunguu swaumu kiasi fulani upake pale ulipoumwa na pia kwa kuumwa na nyoka fanya vile kama ulivyoumwa na nge.
KITUNGUU SWAUMU HUTIBU MAGONJWA YAFUATAYO
- BRONCHITIS (MKAMBA):Ugonjwa wa kifuaa au mkamba ni maambukizo ya mifereji inayoingiza hewa kwenye mapafu,hii husababusga kikohozi chenye sauti mara kwa mara ikiambatana na kutoa makohozi mazito.
- DIARRHOEA (KUHARA):Ugonjwa wa hatari wa kuharisha dalili zake ni kupata choo chenye majimaji zaidi ya mara sita katika masaa 12.
- HARDENING OF ARTERIES:Tatizo katika mishipa ya damu inayochukua hewa safi,mishipa hiyo ambayo huwa miepesi na laini huwa migumu na kushindwa kufanya kazi yake na kuhatarisha maisha ya mhusika.
- INTERNAL PARASITE:Hawa ni wadudu wadogo ambao hujificha ndani ya utumbi mdogo tena ni wakubwa kuliko bacteria.
- HAEMORRHOIDS PILE(RUTUNI):Ni mishipa ya damu inayovimba na kukunjamana na kujitokeza katika njia ya haja kubwa,inakuwa na maumivu makali[wengine huita kutoka mgongo].
- VARICOSIS[Varicose veins](MISHIPA YA DAMU ILIYOVIMBA):Hii ni mishipa ya damu iliyovimba,hukunjana na huuma sana Mara nyingi huonekana katika miguu ya watu wa makamo na akina mama wajawazito na walio kwisha zaa watoto wengi.
- DISEASES OF KIDNEY (MAGONJWA YA FIGO):Kuna matatizo mengi ya figo na njia ya mkojo mara nyingi si rahisi kuyatofautisha.Dalili zake ni Maumivu katika mgongo au kiuno ambayo yanaenea moaka sehemu ya juu ya tumbo na chini ya mbavu,dalili nyingine ni damu kwenye mkojo na uvimbe usoni.
- OBESITY (UNENE);Ni unene unaopita kipimo mara nyingi husababisha matatizo mengi kama vile ugonjwa wa moyo,ugonjwa wa figo na mshtuko(Stroke) watu wanene ndio hasa wanaweza kuwa na Blood pressure.
- PIMPLES (CHUNUSI):Ni vivimbe vidogo vilivyo na ncha nyeupe ya usaha au ncha uchafu.Mara nyingi vinaweza kuuma na kutanuka.
- HYSTERIA:Ugonjwa wa kuweweseka upweke husababisha chemba fulani ya ubongo kutodaka mambo kadhaa ya lazima kwake,ugonjwa huu huwapata wanawake na hasa wasichana katika shule zisizo za mchanganyiko.
- MAGONJWA MBALIMBALI YA NGOZI:Ni magonjwa mbalimbali ya ngozi kama vile "impertigo contagiosa(mzio wa ngozi](Herpes zoster)
- FEAR(WOGA):Mtu mwenye custo huwa na wasiwasi mwingi na ni mwoga,na mtu huyu anaweza kuanza kutetemeka,tabia isiyo ya kawaida ,kukondeana au mwisho kufa kabusa.
- RHEUMATIC:Ni ugonjwa wa kukakamaa sehemu mbalimbali za mwili:
- Rheumatic ya mifupa
- Rheumatic ya misuli
- Rheumatic ya viungo
- MUSCLES INFLAMMATION: Shida katika misuli
- CONSTIPATION (KUFUNGA CHOO):Mtu ambaye hapati choo muda wa siku mbili au zaidi
- TYPHOID FEVER (HOMA YA MATUMBO):Huu ni ugonjwa unaoambukiza utumbo na kusababisha maumivu makali mwili mzima.Dalili zake sawa na kuwa njano,mkojo huwa njano,choo huwa nyeupe.
- HOARSE VOICE(LARYNGITIS):Sauti kutotoka sawa zaidi kutokana na ugonjwa wa kifuko cha sauti au kutoa sauti ya mkwaruzo.
- NEUROSIS: Shida katika mishipa ya fahamu.
- METABOLIC DISORDERS:Kushindwa kuyeyusha chakula.
- GALISTONES:UCHAFU ULIOKO NDANI YA KIFUKO CHA NYONGO:Mara nyingi nyongo husaidia kuyeyusha sumu.Vyakula vya mafuta husababisha isifanye kazi vizuri na wakati mwingine hudhurika.
- EYE SIGHT DISEASES:Kupoteza uwezo wa kuona sawasawa.
- LOSS OF APPETITE(ANOREXIA):,Kukosa hamu ya kula.
- COUGHS:Kukohoa au kikohozi.
- ASTHMA: Shida ya pumu kubanwa katika mapafu au kushindwa kupumua ghafla.
MWENDELEZO WA MAELEZO YA TIBA YA VITUNGUU SWAUMU:
Kutibu magonjwa yafuatayo:
- kukosa hamu ya kula
- Kibofu cha mkojo.
- Bawasiri
- Shinikizo la damu
- Homa ya matumbo
- Kukosa hamu ya kula
- Kichwa
- Majibu
- Pumu
- Woga
- Kuhara damu
- Asthma
- Chunusi
- Kikohozi
- Kipindupindu
- Mafua
- Figo
- Kifunga choo
UTAYARISHAJI WA KITUNGUU SWAUMU KWA AJILI YA MATIBABU YA MALARIA
Chukua punje sita mpaka saba baada ya kuvimenya katakata saizi ys vidonge vimeze kwa maziwa ya moto au maji,mara tatu kwa siku muda wa siku kumi na nne.Kwa magonjwa mengine yaliyoandikwa humu,vimeze kwa muda mrefu maana hutibu kama chakula.
NASHUKURU KWA KUSOMA MAKALA HII,KAMA UTAHITAJI POST YA MICHE,MATUNDA AU MBOGA ACHA COMMENT YAKO KWENYE POST HII.USISAHAU KUSHARE HILI KUSAIDIA AFYA ZA NDUGU ZETU.ASANTE
Comments