Featured Post

5 Things to Do to Secure Your Facebook Account From Hackers

Image
  Some time back, a Facebook account was irrelevant to hackers. There was no reason to hack anyone’s account since there was no reason for hacking an account in the first place. Ever since it has grown to billions of users, Facebook contains enough data for hackers to use for either monetary gain or blackmail. A celebrity’s account, for example, can be hacked in order for a person to advertise a page or brand. The hacker can also post embarrassing or discriminating posts that will leave the celeb’s fans furious. Your account is also prone to hacking even if you aren’t a celebrity. You obviously have to protect your  Facebook account from malicious hackers . It is not that hard to protect your account. Just follow these guidelines, and you’ll be good to go: 1) AVOID SAVING PASSWORDS ON PUBLIC DEVICES Cybercafés are awesome alternatives when you do not have any data on your device. They are also reserves for passwords since most people just click on ‘yes’ on the save password di...

HABARI:Mjamzito Ajiua Akiwa na Mimba ya Miezi 9

 

MWANAMKE mmoja amejinyonga kwa kutumia kanga kwenye mti wa mwembe katika kijiji cha Itununu wilayani Serengeti, kwa madai ya wivu wa mapenzi, huku akiwa na mimba ya miezi tisa.

 

 

Mkuu wa wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu alithibitisha Mkami Nyamhanga (21) kujinyonga Januari 17 kwenye mti wa mwembe uliopo shambani.

 

 

Alisema mwili wake ulionwa na watoto waliokuwa wanakwenda kuangua matunda kwenye mwembe huo na ndio waliotoa taarifa ya kifo hicho. Kwa mujibu wa Babu, marehemu inadaiwa alikuwa anamtuhumu mume wake kuwa na mpenzi mwingine.

 

 

”Asubuhi alitoka bila kuaga mpaka alipogundulika amejinyonga kwa kutumia kitanzi cha nguo ambayo alifunga kwenye tawi la mwembe na kuning’inia,”alisema na kuongeza:

 

 

“Mganga aliyefanya uchunguzi alibaini kuwa kifo chake kimetokana na kitanzi shingoni kilichosababisha mzunguko wa damu na hewa kukosekana, ndugu walikabidhiwa mwili kwa ajili ya kuuzika na hakuna mtu aliyekamatwa lakini uchunguzi unaendelea.’’

 

 

Mganga mfawidhi wa zahanati ya Itununu, Melick Salapioni alilieleza Mwananchi kuwa mwanamke huyo alikuwa na mimba inayokaribia miezi tisa.

 

 

Alisema kutokana na mama kujiua, alikata mawasiliano ya hewa ya oksijeni kati yake na mtoto na hivyo kusababisha kichanga hicho kufa.

 

Comments

Popular posts from this blog

14 Tips for Winter Holidays during the COVID-19 Pandemic

COVID-19 Vaccines: Myth Versus Fact

5 Things to Do to Secure Your Facebook Account From Hackers