Featured Post

5 Things to Do to Secure Your Facebook Account From Hackers

Image
  Some time back, a Facebook account was irrelevant to hackers. There was no reason to hack anyone’s account since there was no reason for hacking an account in the first place. Ever since it has grown to billions of users, Facebook contains enough data for hackers to use for either monetary gain or blackmail. A celebrity’s account, for example, can be hacked in order for a person to advertise a page or brand. The hacker can also post embarrassing or discriminating posts that will leave the celeb’s fans furious. Your account is also prone to hacking even if you aren’t a celebrity. You obviously have to protect your  Facebook account from malicious hackers . It is not that hard to protect your account. Just follow these guidelines, and you’ll be good to go: 1) AVOID SAVING PASSWORDS ON PUBLIC DEVICES Cybercafés are awesome alternatives when you do not have any data on your device. They are also reserves for passwords since most people just click on ‘yes’ on the save password di...

CHOMBEZO:UTAMU USOISHA HAMU-05

 

ILIPOISHIA
“Kwani mwanamke akiingia chumba cha mwanaume anafanya nini? Naomba usinifuatilie bibie…”
“Sawa, ila shauri yako…wanaume sio wajinga kama unavyodhani…anaweza akajua unamsaliti na kukukaushia,” mama Ashura alisema hivyo baada ya kuona mwanaume aliyempangia hajakasirika wala kuzozana, wanaongea na kucheka. Akashangaa sana.

“Huyu mwanaume hatari, kamfumania mkewe sasa wanacheka!!!!” Alisema Mama Ashura.

SASA ENDELEA NA CHOMBEZO HILI…

Aliingia chumbani na kumkuta mumewe akibwia kilevi kwa fujo tofauti na siku zote. Hisia zikaanza kumjia ubongoni, “…inawezekana ameona kuwa nimetoka kumsaliti? Mbona mama Ashura anasema wanaume sio wajinga kama unavyodhani, anaweza akajua unamsaliti na kukukaushia?… ni kwamba mume wangu anajua? Ngoja nitajua tu.”

 

“Sweetie, mbona kama una mawazo…una tatizo gani?” Samira alimuuliza akimwangalia kwa macho ya udadisi.

“Ni mambo ya kifamilia….”

“Yapi, kwani huwezi kumwambia mkeo mdogo?”

“Mmh! Utaweza kunishauri nikikueleza? Maana inauma sana…”

“Kuhusu nini sweetie?” Aliuliza huku akibana pumzi na hofu.

“Nimetoka nyumbani kwangu sasa hivi, huwezi amini nimemfumania mke wangu akifanya mapenzi na mwanaume mwingine…” Moyo ukampasuka paaa’.

“Umemfumania, mkeo kabisa!”Alihoji akimtolea macho ya mshangao uliochanganyikana na hofu, kwani naye muda mfupi alitoka kumsaliti Kapesa.

“Ndiyo, mke wangu wa ndoa kabisa…”

“Ooohhhh my God! Kwanini wanawake wanakuwa hivi…amekosa nini kwako? Sweetie umemfumania wapi?”

“Alikuwa chumba cha mwanaume, ninavyosema hapa sina imani naye tena…nataka nimpe talaka…,” Kauli hizi zilizidi kumtatiza, kwani naye alikuwa chumba cha mwanaume, isijekuwa anaongea kimafumbo, ana maanisha ndiye msaliti.

“Sikiliza sweetie…naomba usimpe mke mwenzangu talaka, acha kabisa..”

“Kwanini nisimpe talaka?”

“Hakuna mwanamke mkamilifu, nakushauri…usimwache..jambo la msingi tafuta sababu ni nini kinamfanya akusaliti,” alisema Samira. Mumewe Monica, Kapesa alivuta chupa ya mvinyo na kumimina glasini kisha akaipandisha mdomoni na kuigugumia yote na kutua glasi mezani kwa kishindo. Alimwangalia Samira na kutamani kumuuliza kwanini anamsaliti, akajikuta anashindwa kufanya hivyo. Alimpenda sana Samira! Hakutaka kuachana naye mapema kiasi hicho licha ya kujua kumbe mchepuko wake anachepuka na mwanaume chumba cha jirani.

“Sawa, siwezi kumpa talaka, nitampenda na kumtunza huku nikitafuta sababu ya usaliti wake.Je, na wewe unanipenda kutoka moyoni?”

“Ndiyo, nakupenda sana…”

“Hujawahi kunisaliti?”

“Sijawahi, niamini Kapesa…”

“Nimekuelewa…naomba uwe mwaminifu, tamaa sio nzuri…kumbuka kuna magonjwa!” Kapesa alizidi kulewa, sasa akajisogeza na kumvuta Samira, hakujali ametoka kumsaliti alichotaka naye ni kumuonesha kuwa anajua mapenzi. Siku zote aliogopa kulamba chumvi ya bahari. Siku hii alijikuta akizama na kulamba chumvi kwa kasi bila hofu. Samira alishindwa kuvumilia, sauti za mahaba zilizidi kumtoka kwasababu mkewe alipenda sana chumvi yake ilambwe!.

“Ooooh Kapesa…leoooo umenipatia…ahsante Kapesa…,” Mama Ashura, alishangaa sana kwa kitendo alichokifanya Kapesa, hakuamini kama angeweza kumgusa mwanamke aliyetoka kumsaliti muda mfupi uliopita.

“Huyu jamaa ni jasiri, sijui nimuite mpumbavu…,” mama Ashura aliwaza akisikilizia dirishani.

***

Seki alifika ofisini kwao hali ya kuwa mchovu mno! Alihisi kama vile anaumwa ingawa ukweli sauti za vilio za Monica zilimtesa sana, ilikuwa vigumu kuamini kile alichosikia. “Inamaana mzee Mombasa anaweza kuwa na pumzi nyingi kiasi hiki, yaani amecheza mpira dakika tisini, zikaongezwa za thelathini, na baadaye matuta…dah! Atakuwa anakula mitishamba…inawezekana vyakula vizuri… lakini kitambi chote kile,” Seki aliendelea kujihoji maswali ambayo wakati mwingine alijidharau mwenyewe na kujiona mjinga.

Kwanini aumizwe na starehe za mtu mwingine, tena sio mkewe?

Alimkuta Aneth alimwangalia muda mrefu.

“Seki unaumwa? Mbona mnyonge hivyo?” Aliuliza Aneth.

“Hapana, siumwi ugonjwa wa kidaktari…”

“Unaumwa nini,pesa?”

“Hapana…sio pesa…kuna kitu kinanitesa…”

“Niambie basi, pengine ni joto la mwanamke? Eeeeeh!”
“Aneth, mi huwa nakuheshimu sana…nakuchukulia dada yangu…”

“Sawa…kwani kunichukulia kama dada ndio ushindwe kuniambia..pengine shida zako zote naweza kuzimaliza…haya, kaa hapa jirani yangu uniambie…,” Aneth alimshika mkono Seki akamketisha sofa ambapo ndipo ameketi mtoto wa kike. Aneth, alikuwa amevaa sketi fupi ya suti ambayo imevuka magotini na kufika mapajani, ukimtazama jinsi alivyokuwa mweupe na hipsi za ajabu, hakika lazima umeze mate kidogo kama ni kidume rijali.

“Aneth…huwezi, wewe si nyumba ndogo ya bosi?” Seki aliongea kwa sauti ya chini, anajua kabisa mara nyingi Mzee Mombasa hutoka na Aneth na kwenda mahotelini. Hakuwa na ushahidi wa kutosha kama wameshakula vingi vitamu.

“Sio kweli, bosi mara nyingi ananitaka, ila simtaki…mzee kama yule akinifia chumbani sinitapata kesi ya kuua…”

“Hapana, unakosea…mzee ana nguvu bado…hana maradhi yoyote….”

“Tuachane na hayo Seki, naomba uniambie una shida gani inayokusumbua…umeachwa na mpenzi?”

“Hapana, kwanza sitaki wanawake kwa sasa, nataka kubaki peke yangu….”

“Usiseme hivyo, Seki unajua mara nyingi nahisi nina hisia za kweli kwako…”

“Sijui…”

“Basi, leo fahamu…nakupenda sana, mara nyingi hukuota tupo kitandani tunakula vyetu…” wakati anaongea, alifika mfanyakazi mwingine, anaitwa Jamila.

“Mhh! Mikao yenu sofani hiyoooo, angalieni msije kufanya…”

“Hapana, Aneth ni dada yangu, namheshimu sana….,” Seki alisema upesi, huku akitafakari jambo, tukio la kelele za Monica zilimtesa sana. Aliwaza inawezekana wakati huo wapo wamepumzika au wanaogeshana bafuni na mzee Mombasa. Katika vitu ambavyo vilimboa sana Aneth, ni kuitwa dada na Seki, alitamani kusikia.

“Aneth ni mpenzi wangu….nampenda sana,” haikuwa hivyo kwa Seki.

Jamila alipita tu na kutoka nje ya ofisi, Aneth akaendelea.

“Seki, naona leo hauko sawa…naomba nikutoe OUT kama hutojali my dear, eeehhh!”

“Natamani kwenda kulala, ila natakiwa kwenda kumchukua bosi…”

“Kumchukua wapi?”

“Ana mkutano wa siri na mfanyabiashara mmoja, mwekezaji hapa nchini…” Seki alidanganya.

“Ahaaa! Sawa…ila nenda uendako…Seki nakupenda sana…”

“Ahsante Aneth…,” Aneth alimpatia Seki mzigo wake wa pesa, alizishika pesa zile akakumbuka jinsi mzee Mombasa alivyomsifu Monica kuwa ni mwanamke mzuri sana.

Kitendo cha kutoka ofisini, Seki alienda hoteli moja maeneo ya Sinza, jirani kabisa na hoteli aliyokuwepo mzee Mombasa na Monica, aliagiza mvinyo na kuanza kunywa. Alishangaa kuona mwanamke mzuri, akishuka na kumfuata.

“Aneth, yaani umenifuatilia mpaka ukajua nimekuja hapa…”

“Ndiyo, leo nina ofa za kutosha kwako…haijalishi hunitaki, kama ungefanikiwa kunigusa hakika ungewaacha wanawake wote duniani,” alijigamba kikike huku akinyoosha mkono kumuita mhudumu wa jikoni. Alifika punde, akamuagiza nyama choma ya mguu wa Mbuzi na Ndizi choma. Akagiza na kinywaji chake kisha akamuongezea Seki aliyebaki ameduwaa.

“Aneth, nilikuwa nahitaji kubaki mwenyewe leo, siko vizuri…”

“Najua huko vizuri ndiyo maana nimekufuata…nataka kuwa karibu yako leo…”

“Ofisi umemwachia nani?”

“Nimeondoka, nimeaga nimepata dharura…,” alisema Aneth.

***

Monica alijikuta akipitiwa na usingizi mzito muda mfupi baada ya kumaliza shughuli pevu aliyopewa na mzee Mombasa. Mwili wote haukuwa na nguvu, na pia kuna wakati alihisi maumivu kutokana na fujo za mzee huyo. Alisikia sauti ya kukwaruza ikimuamsha.

“Mke wangu, naomba uamke…dereva anataka kukurudisha nyumbani…”

“Nimechoka sana, kumbe wee mzee hatari…”

“Niite sweetie…usiniite mzee maana sijazeheka bado…,” Mzee Mombasa alizidi kusema huku akimpapasa Monica kifuani, alitaka kuendelea na kibarua.

“Basi, inatosha..yaani miguu imeishiwa nguvu…”

“Pole mke wangu, nakupenda sana…”

“Ahsante…hizo pesa nilizokupa..hakikisha mumeo hajui…”

“Hata akijua, wala hanisumbui…”

“Jambo jema sana…Monica…weee mzuri wa kila kitu…kila nikikugusa nahisi nagusa ngozi ya mtoto mchanga…”

“Ahsante bebiiiii!” Monica alijizoazoa pale kitandani akamvuta mzee Mombasa na kumbusu huku akimzawadia ulimi wake taratibu.

“Inatosha…ngoja niende…dereva nitamkuta nje?”

“Ndiyo….”

Monica aliingia bafuni kuoga, akatoka na kuvaa nguo zake huku mzee Mombasa udenda ukimtoka, alimpenda sana mwanamke huyu kuliko kawaida. Shughuli aliyopewa, alihitaji kumpongeza. Hivyo, alitoa breafcase yake na kumpatia Monica kiasi cha milioni kumi.

“Bebiii zote hizo…”

“Ndiyo, kwasababu nakupenda na unanijali…Monica, naomba uwe makini, usiongeze wapenzi wengine zaidi yangu….”

“Haya, baadaye tutaongea…,” alisema Monica akiwa sasa amebeba pesa za kutosha kabisa.

****

Alishuka chini na kuelekea moja kwa moja gari lililomleta lilipoegeshwa! Lakini cha ajabu, alimuona Seki alitembea nje ya hoteli hiyo sehemu ya vinywaji, alichokifanya ni kuinua pochi yake juu kuuficha uso wake asiweze kuonekana ametoka hotelini. Seki ni mpenzi wake wa siri, na siku zote ndiye amekuwa akimpa mahaba ya kutosha kabisa. Monica hakujua Seki na mzee Mombasa ni mtu na bosi wake, na ndiye aliyemtuma Sakala kwenda kumchukua Monica kwa kuhofia kuumia zaidi.

Monica hakujua kuwa Seki anajua kila kitu alichokifanya, na kwamba hata alipotoka tu ghorofani alimuona ndipo akajifanya kama vile hajamuona.

“Saka, mambo…jamani umenisubiri muda mrefu…eeeh!”

“Ndiyo, vipi salama lakini?”

“Salama tu, yaani nimechoka sana…mwili wote unauma…”

“Umefayaje?”

“Kwani hujui, bosi wako hajakuambia mi ni mchepuko wake?”

“Hajaniambia, nilidhani mnafanya naye biashara…”

“Hakuna cha biashara, usaliti tu ndio ulikuwa unaendelea…,” alisema kisha akabadilisha mada.

“Saka, hivi sijui nimwambie nini mume wangu, atakuwa amekasirika sana…nimechelewa kurudi…” Monica aliomba ushauri kwa Sakala, anayejiita Saka.

“Kumbe umeolewa…dah!! Haya, kwanza uliaga unaenda wapi?”

“Kwa shangazi…”

“Wapi?”

“Kinondoni….”

“Basi, mwambie shangazi alikupa kazi nyingi na pia alipenda ukae nae muda mrefu, na ulipotoka ukakutana na foleni ya magari barabarani…”

“Yes! Hapo sawa…,” Monica alitabasamu, akamsogezea mkono Sakala.

“Yule bosi wako ni mtu wa mademu sana eeeh!”

“Hapana, kwanini unaniuliza?”

“Kwasababu ananitaka, na naogopa maradhi…”

“Anakutaka au mmeshakula vyenu?”

“Yes, nimempa maana amenipa pesa nyingi sana…”

“Sawa, ila kumbuka mi nakupenda….”

“Unanipenda, sawa nashukuru kunipenda kwako, ila nitafanyaje…yaani nitembee na bosi wako halafu nitembee nawe…”

“Kwa siri, kwani haiwezekani…”

“Naogopa sana, sipendi kujidhalilisha…”

“Sikiliza my dear…kunipa penzi lako sio kujidhalilisha…naomba unipe nafasi, nitahakikisha unakuwa na furaha siku zako zote za maisha…”

“Mmh! Unajua kutongozaaa!!!! Hebu ona…haya…niache nikufikirie kwanza…maana ni adhabu, najua naweza kukupa mapenzi, ukaanza wivu nikiwa na bosi wako, sasa nifanyeje?”

“Siwezi kuwa na wivu…nitajizuia…nakupenda sana…”

“Niite Monica…”

“Monica, wewe ni mwanamke mzuri mno! Yaani saana…”

“Nashukuru, nafikiria kwanini wanaume wananitamani sana…”

“Monica wewe ni mzuri…halafu mtamu saaana..”

“Mtamu umenionjaaa…au umejuaje?”

“Nimekuangalia tu, najua wanawake watamu…tena wewe zaidi ya asali…,”walitembea mwendo wa taratibu ndani ya gari hadi walipofika ubungo Maziwa. Kabla ya kushuka Monica alijisogeza na kumpiga Sakala busu moja matata, mwanaume akapagawa.

“Naomba usishuke kwanza, nikubusu nami…” Sakala alisema.

“Siku nyingine, nimechoka sana Saka….,” Monica alisema kwa sauti laini ya kudeka ya kike.

“Haya, kesho nitakutafuta…”

“Poa, inaweza kuwa bahati yako….,” Monica alisema na kumwacha mwanaume hoi, alihitaji kuipata hiyo bahati ya kutembea na mwanamke mzuri wa sura, figa, mwendo, rangi, sauti nk.

Waliagana, Saka hakuweza kuondoa gari haraka, alibaki ameduwaa akimtumbulia macho Monica aliyekuwa akitembea kwa kimadaha ya kike. Alijikuta akizidi kuchanganyikiwa kwa jinsi bibie alivyovutia.Alitembea utadhani anaionea huruma aridhi ya Mungu kuikanyaga!. Alijua kutembea kwa maringo, na hiki nacho kilimduwaza Saka. Wanaume wengi wamuonapo barabarani lazima wamsindikize kwa macho ya matamanio, ni mzuri hasa.

Je, nini kitaendelea? Usikose simulizi hii

Comments

Popular posts from this blog

14 Tips for Winter Holidays during the COVID-19 Pandemic

COVID-19 Vaccines: Myth Versus Fact

5 Things to Do to Secure Your Facebook Account From Hackers