Featured Post

5 Things to Do to Secure Your Facebook Account From Hackers

Image
  Some time back, a Facebook account was irrelevant to hackers. There was no reason to hack anyone’s account since there was no reason for hacking an account in the first place. Ever since it has grown to billions of users, Facebook contains enough data for hackers to use for either monetary gain or blackmail. A celebrity’s account, for example, can be hacked in order for a person to advertise a page or brand. The hacker can also post embarrassing or discriminating posts that will leave the celeb’s fans furious. Your account is also prone to hacking even if you aren’t a celebrity. You obviously have to protect your  Facebook account from malicious hackers . It is not that hard to protect your account. Just follow these guidelines, and you’ll be good to go: 1) AVOID SAVING PASSWORDS ON PUBLIC DEVICES Cybercafés are awesome alternatives when you do not have any data on your device. They are also reserves for passwords since most people just click on ‘yes’ on the save password di...

CHOMBEZO:UTAMU USOISHA HAMU-02

 


Monica alishaingiwa na tamaa, alichokifanya ni kuingia bafuni kuoga. Alimuogesha mwenye jina kwa makini sana, huyu akimwambia “Uwe mwaminifu katika ndoa yako, habari za kudanga sitaki, yule nitamchuna tu pesa zake,” ndivyo alivyojiaminisha na kujihakikishia atakuwa mwaminifu katika ndoa yake.

SASA ENDELEA NA CHOMBEZO HILI TAMU…
Alimpenda sana mumewe ingawa hakuwa na pesa za kumtunza akapendeza vizuri, ndiye aliyempatia mumewe mtaji wa kufungua saluni baada ya kuwaomba wazazi wake fedha za biashara.
Kule bafuni Monica alihakikisha ametakata vema mwilini, alipotoka aliingia chumbani ambapo alijipodoa vizuri akijitazama maungoni. Alivaa gauni fupi lililoacha paja zake nono nje.

 

Kila alipojitazama katika kioo alijikubali, ni kweli aliumbika vizuri, na kama ingekuwa mwanamke mzuri kuchagua aina ya mwanaume tajiri, basi Monica asingeweza kuolewa na mwanaume masikini kama mumewe, tena mwenye saluni ya kunyoa na kusuka nywele. Lakini mapenzi hayachagua masikini au tajiri, hakika tajiri anaweza kuachwa akaolewa na masikini, ama masikini anaweza kuachwa akaolewa na tajiri.

Wakati akimalizia kutinda nyusi zake vema, ghafla simu yake ilianza kuita, alipoitazama juu ya kioo, akashtuka.
“Anataka nini sasa hivi?” Aliwaza Monica, mtu aliyekuwa akimpigia ni mumewe wa ndoa kabisa.
Alisonya baada ya kuona hana ujanja, alipokea.
“Niambie mume wangu, pole na kazi…”
“Ahsante, upo wapi?”
“Nitakuwa wapi tena zaidi ya nyumbani…”
“Unafanya nini?”
“Nimetoka bafuni, sasa navaa…”
“Ahaaa, nimekumisi sana mke wangu, usiku wa leo naomba unipe mahaba matamu, leo naamini nitaenjoy sana…”

Comments

Popular posts from this blog

14 Tips for Winter Holidays during the COVID-19 Pandemic

COVID-19 Vaccines: Myth Versus Fact

5 Things to Do to Secure Your Facebook Account From Hackers