Featured Post

5 Things to Do to Secure Your Facebook Account From Hackers

Image
  Some time back, a Facebook account was irrelevant to hackers. There was no reason to hack anyone’s account since there was no reason for hacking an account in the first place. Ever since it has grown to billions of users, Facebook contains enough data for hackers to use for either monetary gain or blackmail. A celebrity’s account, for example, can be hacked in order for a person to advertise a page or brand. The hacker can also post embarrassing or discriminating posts that will leave the celeb’s fans furious. Your account is also prone to hacking even if you aren’t a celebrity. You obviously have to protect your  Facebook account from malicious hackers . It is not that hard to protect your account. Just follow these guidelines, and you’ll be good to go: 1) AVOID SAVING PASSWORDS ON PUBLIC DEVICES Cybercafés are awesome alternatives when you do not have any data on your device. They are also reserves for passwords since most people just click on ‘yes’ on the save password di...

Mwanawake Anapenda Umfanyie Mambo Haya Manne Usiku

 

WANAUME walivyokuwa na kazi kibao kila wakati, husahau kuwafanyia mambo kadhaa wake zao ili waendelee kuwa na furaha.

 

Wanawake wengi wamekuwa wakisaliti ndoa zao kwa vile kuna wanaume pembeni wanaowafanyia mambo yanayowafanya wawe na furaha.  Yatuatayo ni mambo anayotakiwa mwanamme kumfanyia mkewe wakati wa usiku ili aendelee kuwa na furaha:

 

1. Ukirejea kutoka kazini, mwulize kila mara mkeo mambo yalikwendaje nyumbani. Hili ni muhimu kwani kila mwanamke anapeda kujua mumewe alikuwa anamjali vipi katika shughuli zake za kila siku.

 

2. Hakikisha unaingia jikoni kila mara usiku na kumsaidia kupika.  Jambo hilo wanawake wengi wanalipenda — kusaidiwa kupika na wenzi wao.

 

 

3. Ni muhimu kutazama sinema pamoja usiku.  Hii inamsaidia mwanamke kutuliza akili yake.   Baada ya kumaliza kutizama sinema inabidi msali pamoja.

4. Wawawake hupenda kubembelezwa.  Ni kwa kumkumbatia mkiwa kitandani hadi apate usingizi.  Hili humfanya afurahi na kulala vyema.

Comments

Mkwizu said…
Wooooow unifanyie hivi♥️♥️

Popular posts from this blog

14 Tips for Winter Holidays during the COVID-19 Pandemic

5 Things to Do to Secure Your Facebook Account From Hackers

COVID-19 Vaccines: Myth Versus Fact